KIEMBESAMAKI YAPATA MWAKILISHI : MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA KUWA MWAKILISHI WA JIMBO HILO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 5 February 2014

KIEMBESAMAKI YAPATA MWAKILISHI : MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA KUWA MWAKILISHI WA JIMBO HILO


01Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.02Muakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Mahmoud Thabit Kombo (alievaa koja) akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe Baraza la wawakilishi katika picha ya pamoja baada ya kuapiswa.
 05Mhe.Mahmoud Thabit Komboa akisalimiana na wanacha wa CCM waliofika nje ya Baraza la Wawakilishi.
06Mhe.Mahmoud Thabit Komboa na baadhi ya wana familia na Mkewe Bi. Sofia Mgema (anaesikiliza simu) katika picha ya pamoja nje ya Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment