KAMATI YA MAADILI :WASSIRA NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI YA CCM MJINI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 15 February 2014

KAMATI YA MAADILI :WASSIRA NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI YA CCM MJINI DODOMA


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi,Wassira aliwaeleza waandishi kuwa hakukuwa na tuhuma juu yake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassiraakifurahia jambo na Kada Maarufu wa CCM Ndugu Adam Soud mara baada ya kumaliza mazungumzo na waandishi wa habari mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment