MO DEWJI: BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AMTEMBELEA BILIONEA MHE. MOHAMED DEWJI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 January 2014

MO DEWJI: BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AMTEMBELEA BILIONEA MHE. MOHAMED DEWJI

DSC_0023
CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi (kulia) akimsindikiza Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
DSC_0024
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula, akifurahia jambo na Mh. Mohammed Dewji alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar.
DSC_0029
Mh. Mohammed Dewji akimtambulisha Mshauri wa miradi ya Kampuni ya MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala (kulia) kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Liberata Mulamula.

No comments:

Post a Comment