Rais
Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Dkt. William Mgimwa,
wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho zilizofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo
umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko.
Mawaziri
wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. William Mgimwa wakati
likipakiwa kwenye gari tayari kuanza safari ya kuelekea Uwanja wa ndege
kuelekea mkoani Iringa kwa maziko.
Mama Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho.
Spika wa Bunge Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana heshima za mwisho.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, heshima za mwisho.
Rais
Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho
mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt.
William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo
umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo mchana. Mwili huo umesafirishwa leo
kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiifariji familia ya marehemu Dkt. William
Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo
mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko.
Baadhi ya Mawaziriki wakiwa katika foleni kuelekea kutoa heshima zao za mwiho.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakiwa katika shughuli hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Serikali waliohudhuria shughuli hiyo. Picha zote na Ikulu.
No comments:
Post a Comment