HABARI ZA KIFO : KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 19 December 2013

HABARI ZA KIFO : KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA



Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe. Bw. Mteming'ombe

KATIBU  wa  chama cha mapinduzi  (CCM) mkoa  wa  Iringa Bw Emanuel Mteming'ombe amefariki  dunia katika hospital  ya  mkoa  wa  Iringa.

Katibu   huyo  alikuwa amelazwa  katika Hospital  ya  mkoa  wa  Iringa kwa  zaidi  ya siku moja akisumbuliwa  kwa ugonjwa athima na  leo amefariki  dunia.

Mwenyekiti  wa  CCM  mkoa wa  Iringa Jesca Msambatavangu  amethibitisha   juu ya taarifa  hiyo  na  kuwa  taratibu  za mazishi  zinafanywa .
 Mzee Teming'ombe akilia  kwa  uchungu  kufuatia  kifo  cha kijana wake aliyekuwa katibu  wa CCM mkoa wa  Iringa Emanuel Mteming'ombe aliyefariki usiku wa   kuamkia  leo  katika Hospital ya Rufaa ya  mkoa wa Iringa alikolazwa kwa  zaidi ya siku mbili
 waombolezaji wakiwa  ktk hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa katika maandalizi  ya mwili  wa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa. Picha zaidi Bofya hapa kwa Mzee wa MATUKIO DAIMA

No comments:

Post a Comment