GAZETI LA MTANZANIA LARUDI UPYAAA: WAFANYAKAZI WA GAZETI HILO WAKIFURAHIA UJIO WA GAZETI LAO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 28 December 2013

GAZETI LA MTANZANIA LARUDI UPYAAA: WAFANYAKAZI WA GAZETI HILO WAKIFURAHIA UJIO WA GAZETI LAO

Limerudi tena!!!!
Mwani Nyangassa na Esther Bhoke Wakiwa wamepozi katika picha, baada ya uchovu wa mizunguko yao, makamanda hao wako katika harakati ya kuliuza gazeti hilo ambalo limefunguliwa kutoka kifungoni.
Poz kwa Poz, Wafanyakazi wa New habari (2006) Ltd, "#TEAM Mauzo"wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja baada ya kuzunguka jiji la Dar es salaam kufanyA mauzo ya copy ya gazeti la MTANZANIA.

No comments:

Post a Comment