Mgeni
Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa
Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akizungumza machache wakati wa shughuli
hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena,Jijin Dar
es Salaam.Usiku wa Khanga za Kale ni siku pekee ya Kuonyesha Mavazi
yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,yanayoandaliwa kila Mwaka na Mbunifu wa
Miaka mingi,Mamaa wa Mitindo Asia Idarous.
Mgeni
Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa
Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal (kulia) akipokea zawadi ya Sahani
iliyochorwa jina lake,kutoka kwa Muandaaji wa Maonyesho hayo ya Usiku wa
Khanga za Kale,Mama Asia Idarous.
Mgeni
Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa
Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akimkabidhi cheti cha Ushiriki,Mrembo wa
Tanzania alieamaliza muda wake,Brigit Alfred.Katikati ni Mamaa wa
Mitindo,Asia Idarous.
Mwakilishi wa Valey Spring akipokea cheti.
Mwanalibeneke Othman Michuzi,akipokea Cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi ikiwa ni cheti cha moja wadhamini wa Onyesho hilo.
Salma Msangi akipokea Cheti kwa niaba ya Radio Magic Fm na Channel 10 televisheni.
Dada Garina Ajmy akipokea Cheti kwa Niaba ya Clouds Media.
Mkurugenzi wa Magazeti ya Jambo Leo,Benny Kisaka.
DJ John Dilinga.
Mariam Ndabagenda.
Wanamitindo
mbali mbali wakipita jukwaani kuonyesha mavazi mbali mbali yaliyobuniwa
kwa kutumia Khanga,wakati wa Onyesho la Usiku wa Khanga za Kale.
Mama wa Mitindo,Asia Idarous akiwa na bintie jukwaani.
No comments:
Post a Comment