TUZO YA KISHUJAA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA YA DAUD MWANGOSI KUTOLEWA LEO JIJINI MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 November 2013

TUZO YA KISHUJAA NA UTUMISHI ULIOTUKUKA YA DAUD MWANGOSI KUTOLEWA LEO JIJINI MWANZA


 Mkurugenzi  mtendaji  wa  UTPC Abubakar karsan  akitoa maelezo ya  tuzo  ya Daudi Mwangosi  kabla ya  tuzo  hiyo  kutolewa  leo

 Viongozi wa  UTPC wakiwa wamesimama  kwa  ajili ya  kumkumbuka  marehemu  Daudi Mwangosi  leo  kabla ya  hafla  ya utoaji  tuzo  kufanyika katika  ukumbi  wa  JB Belmonte  jijini Mwanza. Kwa picha Zaidi Bofya hapa Francis Godwin

No comments:

Post a Comment