Meneja
Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Badra Masoud akieleza
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kuwepo kwa upungufu wa
umeme kwenye gridi ya Taifa kuanzia tarehe 16 hadi 26 November, 2013
kutokana na upungufu wa gesi kutoka katika Kisiwa cha Songosongo
kilichopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi Unaosababishwa na Matengenezo
ya Kiufundi kwenye visima vya gesi unaofanywa na Kampuni ya Pan Afrika
ili kuboresha upatikanaji wa gesi ya kutosha kwenye visima hivyo.
Profesa Mapesa ndani ya Banda la TIA Maonesho ya Wiki ya Kitaifa Elimu
,Tanga
-
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) Profesa Haruni Mapesa
akisaini Kitabu wakati alipotembelea Banda la TIA katika Wiki ya Elimu
Kit...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment