PICHA MBALI MBALI: MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Nov 2013

PICHA MBALI MBALI: MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

 Bendi ya Jeshi la Wananchi likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika viwanja vya Chimwaga kwaajili ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa leo kwa Wahitimu Mbalimbali kutunukiwa Shahada mbalimbali na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa.
 Msafara wa Elimu ukienda kwenye Viwanja Vya mahafali, mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni hapo
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idrisa Kikula (Mbele) akiongozana na Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (katikati) na Mkuu wa Baraza la Bodi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Balozi Juma Mwapachu (kulia) katika mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni hapo
 Meza kuu ikiongozwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa Wakiwa wamesimama Kwaajili ya Kuimba Wimbo wa Taifa kabla ya sherehe ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuanza
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula Akitoa hotuba fupi kabla hajamkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuongea machache kabla na yeye Kumakaribisha Mkuu wa Chuo Kwaajili ya Kuanza zoezi la kuwatunuku wahitimu wa shahada mbalimbali za Chuo Kikuu Cha Dodoma  katika mahafali ya nne ya UDOM yaliyofanyika katika Viwanja vya Chimwaga. Kwa Picha zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad