Winner Lupaakisyo Mwakasweswe, mwenye miwani ndie baba mdogo wa The Ceo wa Wazalendo 25 Blog, mahafali haya yalifanyika katika shule ya Waadvetista wasabato Arusha (TASS) Usa-River Arusha. |
Hapa Winner akiwa na wenzake katika mahafali ya kidato cha nne 2013. |
Winner akipokea cheti kutoka kwa mkuu wa chuo cha Arusha (University of Arusha) |
Familia ya Winner Lupakisyo Mwakobela Mwakasweswe, kutoka kushoto ni Mama, Winner ,Lusekelo mdogo wake na Baba yake.. |
Ndugu jamaa na marafiki wakipata picha ya pamoja |
Kushoto ni Gadiola Emanuel The CEO wa Wazalendo 25 Blog nikipata picha na Winner ,katikati ni Lusekelo mdogo wake na Winner. |
No comments:
Post a Comment