Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashiria kuzindua Mkoa
mpya wa Geita Jumamosi mchana.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI
anayeshughulikia elimu Kassim Majaliwa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita
Magalula Said Magalula.
Wazee
wa Mkoa wa Geita wakimvisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete vazi la
kijadi wakati wa uzinduzi wa Mkoa Mpya wa Geita Jumamosi mchana. Picha
na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment