DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA HARUSI YA PETER WA PSQUARE HUKO LAGOS-NIGERIA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 18 November 2013

demo-image

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA HARUSI YA PETER WA PSQUARE HUKO LAGOS-NIGERIA

peter
 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwa ajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Adebayor
 Emanuel Adebayo & Diamond

9b0affec4fcf11e397611262d215dd7f_8
 Diamond & Iyanya

Emanuel+Adebayo
 Peter & Emanuel Adebayo: Source: DJ Choka Blog

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *