PICHA MBALI MBALI ZA RAIS JAKAYA M. KIKWETE ALIPOTEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MKOANI IRINGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 15 October 2013

PICHA MBALI MBALI ZA RAIS JAKAYA M. KIKWETE ALIPOTEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MKOANI IRINGA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko wakati anawasili katika viwanja vya maonesho ya Wiki ya Vijana uwanja wa Mlandege, Iringa
 Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
 Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
 Banda la bodi ya Filamu
 Rais Kikwete akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na vijana
 Banda la TAMAVITA
 Banda la vijana toka Zanzibar
 Rais Kikwete akiangalia bidhaa za vijana toka Zanzibar
 Vijana wa Zanzibar wakitoa maelezo ya kazi zao
 Vijana wakisalimiana na Rais kwenye banda lao
 Banda la Forum Syd
 Banda la AMREF
 Banda mojawapo la vijana
 Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
 Rais akisalimiana na vijana wajasiriamali wa Iringa
 Banda la Kilolo
 Kijana Kenneth Mwangoka kutoka Nyololo akiwa na gari lake la miti
 Rais Kikwete akisalimiana na kijana Kenneth Mwangoka
 Rais Kikwete akiangalia gari la miti
 Chuo Kikuu cha Mkwawa
 Vijana katika kuhamasisha jamii dhidi ya VVU na Ukimwi
 Vijana wa Chuo Kikuu cha Ruaha wanafurahi kutembelewa na Rais Kikwete bandani kwao
 Chuo Kikuu cha Iringa
 Maelezo toka kwa vijana wa Chuo Kikuu cha Iringa
 Vijana wanaotengeneza dawa za asili
 Wadau wa NMB tawi la Mkwawa wakisubiri mgeni awatembelee
 Vijana wakitoa maelezo
 Vijana wa NMB tawi la Mkwawa wakimsalimia Rais Kikwete
 Vijana wa Exim Bank wakifurahia ugeni huo
 Banda la TRA
 Banda la vijana wa dini mbalimbali
 Vijana wakifurahia ujio wa Rais Kikwete
 Wajasiriamali vijana wa Iringa wakisalimiana na Rais Kikwete
 Rais akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
 Spika Anne Makinda akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
 Vijana wakimpokea Rais
 Banda la Femina
 Vijana wajasiriamali wakimsalimia mgeni
 Banda la JAFAKU group
 Vijana wakionesha kazi zao
 Banda la VETA
 Karibu mgeni
 Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa za wajasiriamali
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga
 Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga
 Wajasiriamali wakimkaribisha mgeni
 Mama Salma Kikwete katika banda la vijana wahamashishaji jamii
 Mama Kikwete katika banda la vijana wajasiriamali
 Karibu kwetu Mheshimiwa....
 Vijana wajasiriamali wafurahia ujio wa Rais Kikwete bandani kwao
 Rais Kikwete na Spika Anne Makinda katika banda la YARRA wakijadili umuhimu wa pembejeo
 Rais Kikwete akinunua kitabu katika banda la wajasiriamali wa elimu
 Kijana akimkaribisha mgeni kwenye banda la nishati jua
 Vijana wakionesha dawa za asili wanazotengeneza
 Mama Kikwete akitembelea banda la dawa za asili
 Banda la wajasiriamali toka mkoa wa Njombe
 Banda la vijana wajasiriamali 
 Rais Kikwete akijaribu kofia katika banda la vijana wa Iringa
 Banda la bidhaa za nyuki na zabibu toka Dodoma
 Mama Kikwete na vijana wajasiriamali katika bidhaa za nyuki
 Kofia kwa mgeni
 Hongereni sana kwa kazi nzuri....
 Vijana toka Ngara
 vijana wa Geita
 Mama Kikwete kwenye banda la Geita
 Rais Kikwete na Spika Anne Makinda katika banda la Lindi
 Bidhaa kila aina zilikuwepo
 Vijana wakimsalimia mgeni
 Banda la Chemi Cotex
 Banda la TANAPA
 Vijana wa Iringa na utalii wa ndani
 Vijana wa Ruaha Hilltop
 Banda la maonesho la wanyama hai
 Banda la Jeshi la Polisi Iringa
 Banda la Polisi Iringa
 Karibu tena afande....
 Vijana wa PCCB wakimlaki mgeni
 Banda la PCCB
 Banda la UHAMIAJI
 Mama Salma Kikwete katika banda la UHURU na MZALENDO
 Rais Kikwete akikaribishwa katika banda la UHURU na MZALENDO na msimamizi wa banda Bakari Mkhondo
 Akiangalia picha mbalimbali za kumbukumbu ya Baba wa Taifa
 Rais Kikwete akifurahia moja ya picha zinazomuomnesha akiwa na Mwalimu
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifurahia picha
 Rais Kikwete akitoa ushauri banda la UHURU
 Rais Kikwete, Spika Anne Makinda na Naibu Mwenyekiti wa CCM katika banda la UHURU na MZALENDO
Spika Anne Makinda katika banda la UHURU na MZALENDO. Picha zote na Issa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment