MH. JANUARY MAKAMBA ,TID NA WADAU WENGINE NDANI YA SKYLIGHT BAND - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 10 October 2013

MH. JANUARY MAKAMBA ,TID NA WADAU WENGINE NDANI YA SKYLIGHT BAND


IMG_9378
Mh. January Makamba aliyeambatana na mdogo wake Thuwein Makamba wakipata picha ya kumbukumbu na wadau pamoja na marafiki.
IMG_9277
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukisakata rhumba ndani ya kiota cha Thai Village.
IMG_9278
Utamu wa burudani ya Skylight Band unapowachizisha mashabiki.
IMG_9290
Yachuma nataka mukanda ya Yachuma......Umati uliofurika Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village ukisebeneka na Style mpya ya Skylight Band. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment