JAMAL MALINZI AFUNIKA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUWANIA URAIS TFF, JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 24 October 2013

JAMAL MALINZI AFUNIKA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUWANIA URAIS TFF, JIJINI DAR ES SALAAM


 Mgombea wa Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akizindua kampeni yake jijini Dar, mbele ya waandishi wa habari na wadau wa mpira wa miguu ambapo alielezea mikakati yake mbali mbali ya kuendeleza soka.
 Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akiongea na vyombo vya habari.
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.
Waandishi wa habari wakiwa kwa wingi kufuatilia mgombea Jamal Malinzi wakati akimwaga sera zake mbele ya wajumbe.

No comments:

Post a Comment