GAZETI LA MWANANCHI KATIKA CHINDANO LAKE LA "CHOMOKA NA MWANANCHI" LATOA ZAWADI KWA WASHINDI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 October 2013

GAZETI LA MWANANCHI KATIKA CHINDANO LAKE LA "CHOMOKA NA MWANANCHI" LATOA ZAWADI KWA WASHINDI


 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MCL akifungua hafla ya ukabidhi wa zawadi kwa washindi wa shindano la Chomoka na Mwananchi, shughuli iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni ya mwananchi, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, mwanaspoti na The Citizen
 Mkurugenzi wa kampuni ya MCL, Tido Mhando, akimkabidhi ufunguo wa gari, mshindi wa gari Bw. Benedict Mgoo kutoka Dodoma, anayeshuhudia ni mke wa mshindi huyo Bi Fortunata
Bw benedict, akifungua gari lake huku akishuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited.
 ..hapa akiwa ndani ya gari na Familia yake
 Hapa akitoa ushuhuda kwa wanahabari
 Hapa Bw benedict akijibu maswali ya wanahabari
Hii ni picha ya Bw benedict akiwa na wanafamilia waliomsindikiza kwenda Mwananchi kupokea zawadi yake
 Meneja Maendeleo ya Biashara wa  Mwananchi Communication Limited (MCL), Theophil Makunga  akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Benedict Masija Mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam
 Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Mwananchi Communication Limited (MCL) Francis Nanai, akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa promosheni ya  Chomoka na Mwananchi, Cletus Mubezi Mkazi wa Temeke  jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mtendaji  wa Mwananchi Communications Limited(MCL),Tido Mhando(kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi,  Dk Andrew Lwali Mkazi wa Kibaha mkoa wa Pwani
 Mhariri Mtendaji wa  Gazeti la Mwananchi ,Dennis Msacky (kushoto)akimkabidhi  hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Edna Maro Mkazi wa Tegeta  jijini Dar es Salaam
 Mhariri Mtendaji  Mtendaji wa Mwananchi  Communications Limited(MCL)Bakari Machumu akimkabidhi  hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Stephen Shembata  Mkazi wa Tegeta  jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mtendaji  wa Mwananchi Communications Limited(MCL),Tido Mhando(kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi ,Mashaka Msuya  Mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji  wa Mwananchi Communications Limited(MCL),Tido Mhando akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Levina Nyambo  Mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam 
 Washindi wote kwa pamoja wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa MCL

No comments:

Post a Comment