DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 21 WA VYOMBO VYA HABARI NA UTANGAZAJI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SABA) JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 21 October 2013

DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 21 WA VYOMBO VYA HABARI NA UTANGAZAJI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SABA) JIJINI ARUSHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania Professa John S. Nkoma nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha. 
 Baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo  Oktoba 21 2013 katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa  mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) baada ya kufungua mkutano huo 21 Oktoba 2013 katika ukumbi wa A I C C Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wasanii wa ngoma ya kimasai waliokua wakitumbiza nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya kufungua mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) .

No comments:

Post a Comment