DK. EMANUEL NCHIMBI ,WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMUAGA BALOZI WA MAREKANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE BW. ALFONSO LENHADRT - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 1 October 2013

DK. EMANUEL NCHIMBI ,WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMUAGA BALOZI WA MAREKANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE BW. ALFONSO LENHADRT



 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akimkabidhi zawadi ya ngao Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa maelezo mafupi ya kumshukuru Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati kushoto) akiwa na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (katikati kulia) pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika hafla fupi ya kumuaga balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt kabla ya hafla fupi ya kumuaga balozi huyo aliyemaliza muda wake wa uongozi nchini. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa pili kulia waliokaa), Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (wa pili kushoto waliokaa), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blaser (kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi (wane kulia waliosimama) pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla fupi ya kumuaga Balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments:

Post a Comment