CHADEMA KATIKA ZIARA YAKE MKOANI TABORA KASKAZINI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 11 October 2013

CHADEMA KATIKA ZIARA YAKE MKOANI TABORA KASKAZINI











Tumefanya mkutano wetu wa mwisho kijijini Mabama. Mkutano mkubwa sana na kuingia wanachama wengi sana. Kilio kikubwa cha wananchi ni Maji na unyonyaji katika zao la Tumbaku. Kuna haja kubwa sana ya kusukuma hifadhi ya jamii kwa wakulima.Ufisadi kwenye ngazi ya kijiji unatisha.
Kama kawaida Mh Zitto Kabwe alicha swali,
Umewahi kusikia jengo la matofali ya saruji linajengwa kwa tope?
  Kesho 12th Oct  Nzega na keshokutwa 13th  Igunga
Na Dj Sek Blog

No comments:

Post a Comment