AZAM TV KUZINDULIWA RASMI MWISHONI MWA MWEZI NOVEMBA 2013 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Friday, 25 October 2013

AZAM TV KUZINDULIWA RASMI MWISHONI MWA MWEZI NOVEMBA 2013

 
 Azam TV inataraji kuwa hewani rasmi katikati ya mwezi Novemba na kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi ujao huku ikianza na Channel zaidi ya 35 Bureee na baada ya uzinduzi mteja atapata Channel 50+ kwa gharama nafuu ya 12,500/= tu kila mwezi. Azam Tv wanasema wao hawana ubaguzi wateja wote ni sawa na hakuna package maalum kwa watu maalum.
Azam TV offerings:
1. Best quality for reasonable/affordable price
2. High volume, low margin
3. Tanzanian Company for Tanzanians
4. Pan - African service based in Tanzania
5. Single bouquet - No rich , poor man packages
6. Facility to record what your watching
7. Electronic programme guide
9. Azam One - African contents, mostly in Swahili
10.Azam Two - International channels from around the world, some will be dubbed in Swahili
11. Sinema Zetu - 24 hours Swahili movies
12. Sporting and non sporting opportunities for live and recorded contents
13. Tabata site - 2 studios by January 2014 for indoor shows/talk show
14.Country wide installers/distributors from cities to small towns
15.Full installation (Dish, decoder & installation fee) for TZS 95,000/= only - This is promotion launch price.
16. 50+- channels for TZS 12,500/= only
17. East African FTA (Free to A air) channels always available, even if you forget to pay subscription.
18. Open door/switch on signal by mid November for 35+ channels for free
19. Official launch before end of November
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington akifafanua mambo kwa waandishi wa habari mbalimbali waliofanya matembezi katika kituo hicho kipya cha habari za michezo na burudani kilichopo Tazara jijini Dar es Salaam kujionea maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kuanza kutrusha matangazo yake moja kwa moja. Kwa sasa kituo hicho chenye mkataba wa kurusha live mechi zote za Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara kinarusha kupitia Televisheni ya Taifa, TBC.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington akionesha kwa wanahabari Kisumbusi
 Wanahabari walikuwa makini sana kufuatilia neno hadi neno
 Ziara ilinza na hapa C.E.O wa  Azam TV, Rhys Torrington aliwatembeza wadau. Kwa picha zaidi bofya hapa Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment