DARAJA LA KIGAMBONI LINATARAJIWA KUMALIZIKA 2015 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 27 September 2013

DARAJA LA KIGAMBONI LINATARAJIWA KUMALIZIKA 2015


Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya MBEC ya China wakiendelea kusuka nondo katika ujenzi wa Daraja la Kigamboni linalojengwa kwenye Bahari Hindi litakalounganisha eneo la Kigamboni na Kurasini, Dar es Salaam. Ujenzi wa daraja hilo unatarajiwa kumalizika mwaka 2015. Picha na Rafael Lubava

No comments:

Post a Comment