DR. SLAA ATUA MOROGORO KATIKA BARAZA LA RASIMU YA KATIBA MPYA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 20 August 2013

DR. SLAA ATUA MOROGORO KATIKA BARAZA LA RASIMU YA KATIBA MPYA

DR. Slaa akiwa wakili Msomi Edson Mbogoro tayari kwa kuhutubia
Baadhi ya wananchi wakiwa tayari kujaza fomu za maoni ya Rasimu ya Katiba Mpya katika viwanja vya K-ndege ambapo Dr. Slaa kuhutubia wananchi mchana wa leo. Mwenye Skafu ya Chadema ni Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Kichangani
Mwasisi wa Blog ya Mwaipaja Blog Kaka Amani Mwaipaja akitoa maoni yake kwenye fomu maalum ya kutolea maoni katika viwanja vya shule ya msingi K-Ndege 
Mwanasheria Amani Mwaipaja (Mwenye Miwani) akiwa na Mwanasheria Msomi Bathromew Tarimo (Wakili kwenye kesi ya Sheikh Ponda) katika Viwanja vya Mkutano
Mwasisi wa Blog ya Mwaipaja Blog (Mwenye Miwani) akiwa na Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwa katika picha ya pamoja kwenye viwanja vya Mkutano

No comments:

Post a Comment