Kijana
Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake
wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Vijana hao wanalelewa katika kituo cha Pilli Missanah Foundation
kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Vijana
walioachana na Matumizi ya dawa za kulevya kutoka katika kituo cha
Pilli Missanah Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam
wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu
jijini Dar es Salaam leo.Kulia pembeni ya Rais ni Mwanzilish Kituo hicho
Bi.Pilli Missanah na watatu kushoto ni mfadhili mkuu wa kituo hicho
Bwana Zacharia Hans Poppe (picha na Freddy Maro)
SERIKALI YATENGA BILIONI 14.48 MRADI WA ENGARUKA
-
*WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika leo Januari 10,2025 katika Kata ya Engaruka
wilay...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment