Picha
ya pamoja mara baad ya kuuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure
jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA,imefanyika katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na
mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA
Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Naibu
Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizindua mfumo mpya wa
usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri
chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika katika
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya,kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko na
kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla na wa pili
kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho na wageni
mbambali wakilishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.Shughuli nzima
inaratibiwa na RITA.
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki
akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides
Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri chini
ya miaka 5,mara baada ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali
likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na
Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Baadhi
ya akina mama wakiwa na vyeti vya kuzawaliwa vya watoto wao wanye zaidi
ya wiki mbili tangu kuzaliwa kwao,mara baada ya kabidhiwa leo na Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara baada
ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati
wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla
hiyo imefanyika mapema katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la
UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Mgeni rasmi, Naibu
Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizungumza mbele ya
wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) wakati alipokuwa
akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa
usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo
imefanyika katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya. Picha zaidi bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment