Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa
Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC)
kati ya Tanzania na India unaofanyika katika Hoteli ya Hyatt
Regency-Kilimanjaro kuanzia tarehe 08 hadi 09 2013. Mkutano huo
unaowashirikisha Wadau kutoka sekta mbalimbali za hapa nchini na India
utajadili pamoja na mambo mengine masuala ya ushirikiano katika sekta za
Uchumi, Ufundi, Sayansi na Teknolojia, Elimu, Afya, Utalii, Kilimo na
Nishati na Madini.
Habari : Dkt. Mpango Ataja maeneo manne muhimu kwa Vyombo vya Habari Barani
Afrika
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor
Mpango, amevitaka vyombo vya habari barani Afrika kuzing...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment