RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AAPISHA MABALOZI WAWILI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Jun 2013

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AAPISHA MABALOZI WAWILI DODOMA


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu  na Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe. Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China. 
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Anthony Cheche (kushoto) anaekuwa Balozi wa Tanzania katika nchi ya Congo DRC.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo mjini Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia) , anaekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anaekuwa Balozi wa Tanzania katika nchi ya Congo DRC.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad