MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ,ABSALOM KIBANDA APOKELEWA KAMA MFALME - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 5 June 2013

demo-image

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ,ABSALOM KIBANDA APOKELEWA KAMA MFALME

IMG_3437
 Waandishi wa habari na wanaharakati wakisubiri kumpokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
IMG_3454
IMG_3468
 Waandishi wa habari na wanaharakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
IMG_3488
 Baadhi ya wapiga picha wakiwa Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom kibanda.
IMG_3491
 Mjumbe wa Bodi wa Jukwaa la wahariri, Theophil Makunga akimlaki Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda alipowasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Afrika Kusini kwa matibabu.
IMG_3530
Kibanda akiwasili. 
IMG_3540
Absalom Kibanda (katikati) 
IMG_3547
 Umati wa waandishi wa habari pamoja na wanaharakati wakiwa katika mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri.
IMG_3648
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 
IMG_3663
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Picha kwa hisani ya Lukaza Blog. 

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *