KALA JEREMIAH AKIMKABIDHI TUZO MAMA YAKE MANGWEHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 14 June 2013

KALA JEREMIAH AKIMKABIDHI TUZO MAMA YAKE MANGWEHA

Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha.
Kala, ndugu wa marehemu Ngwea na alioambatana nao wakiwa kwenye gari kuelekea makaburini.
KALA Jeremiah akisalimiana na mama yake Albert Mangweha baada ya kumkabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya mwanae, kulia ni Afande Sele
Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip -Hop 2013-14. Source: Jestina George.com

No comments:

Post a Comment