DR. JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI SINGAPORE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 6 June 2013

demo-image

DR. JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI SINGAPORE

s7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
s1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
s6
s5
s4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
s13
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
s14
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
s12
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
  Picha kwa hisani ya Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *