DR. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KENYA MH. WILLIAM RUTO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 2 April 2013

DR. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KENYA MH. WILLIAM RUTO

ru1
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete April 1, 2013 akisalimiana na Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara. Mhe Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.
ru2
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Rachel Chebet, mke wa  Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara. Mhe Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka
ru3
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.
ru5
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete April 1, 2013 akipozi na familia ya  Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara. Mhe Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.(picha na IKULU)

No comments:

Post a Comment