
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa kimataiafa wa
siku mbili wa Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Bara la Afrika,
ulioshirikisha mataifa mbalimbali kutoka Bara la Afrika, ulioanza leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini
Arusha.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizindua Kitabu cha Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Bara la Afrika,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili wa Udhibiti wa
Huduma za Kiuchumi Bara la Afrika, ulioshirikisha mataifa mbalimbali
kutoka Bara la Afrika, ulioanza Aprili 16, 2013 kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha. Kitabu hicho kimetungwa na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Prof. Mark Mwandosya. Kulia
ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) ni Mkurugenzi wa
Ewura, Haruna Masebu.
No comments:
Post a Comment