WAFANYAKAZI WA VODACOM AFRIKA YA KUSINI NA TANZANIA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 21 March 2013

WAFANYAKAZI WA VODACOM AFRIKA YA KUSINI NA TANZANIA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI ZANZIBAR


 Wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao kutoka Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja  na viongozi pamoja na wateja wanaopata tiba katika kituo cha kutibu wanawake ili kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.
 Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania pamoja na wenzao wa Afrika Kusini wakiwa wamejumuika na wateja wa kituo cha kuachana na matumizi ya dawa za kulevya (Sobber House) cha wanawake cha Mjini Zanzibar, wakati wafanyakazi hao walipokitembelea kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali ili kuwapa moyo wanawake hao walio katika harakati za kuachana na matumizi ya dawa za kulevya kufikia azma yao.
 Wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao kutoka Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja  na viongozi pamoja na wateja wanaopata tiba katika kituo cha kutibu wanawake ili kuachana na matumizi ya dawa za kulevya. Wafanyakazi hao walikitembelea kituo hicho kama sehemu ya kuthamini juhudi za kituo hicho kusaidia wanawake kuachana na matumizi ya dawa hizo za kulevya.

No comments:

Post a Comment