MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM(ARUSHA) BENSON MOLLEL AZIKWA JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 7 March 2013

demo-image

MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM(ARUSHA) BENSON MOLLEL AZIKWA JIJINI ARUSHA


.com/blogger_img_proxy/

Viongozi wa Dini (Wachungaji) wakifanya maombi ya mwisho kabla ya kuuhifadhi mwili wa aliyekuwa Mjumbe  wa baraza kuu la umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (Uvccm), ngazi ya taifa  kupitia mkoa wa Arusha, Benson Mollel (26).

.com/blogger_img_proxy/

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria mazishi ya Mjumbe  wa baraza kuu la umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ngazi ya taifa  kupitia mkoa wa Arusha, Benson Mollel (26) aliyeaga dunia hivi karibu katika hoteli ya Lush Garden Bussines Hotel iliyopo barabara ya vijana mkabala na  Jacaranda  mtaa wa Haile Selassie katikati ya jiji la Arusha. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>>

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *