| Mh. Godbless Lema huyooo na watu wakimpungia kwa furaha. |
| Vijana wakiwa madirishani kufurahia kuja kwa mbunge wao |
| Maandamano ya watu na boda boda |
| Watu barabarani ni wengi sana |
| Msafara huo ukitokea KIA |
| Mitaa ya Kikatiti hii |
| Mh. Joshua Nassari akipunga kwa furaha |
| Mh. Godbless Lema akifurahi kwa ushindi wake |
| Furaha na shangwe |
| Maeneo ya Clock Tower jijini Arusha |
![]() |
| Mh. Gobless Lema Mbunge wa JIJI la Arusha huyooo |

No comments:
Post a Comment