Matukio mbali mbali ndani ya jiji letu la Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 5 December 2012

Matukio mbali mbali ndani ya jiji letu la Arusha

Hili ni gorofa la Hoteli ya M& FIVE ninayotarajiwa kufunguliwa karibuni,ipo maeneo ya sakina Darajani.
Hili ni gari la Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog ,kwa hiyo wenye habari na matangazo yenu, tuna uwezo wa kukufuata popote ulipo kwa mkazi wa Arusha.
Hapa ni Captain Car Wash Sakina, gari lazima ling'are jombaa!!
Hili ni gorofa la Hoteli ya M& FIVE-Arusha tuko juu kwa sasa.

No comments:

Post a Comment