KESI YA SHEIKH PONDA YASOGEZWA MBELE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 31 December 2012

KESI YA SHEIKH PONDA YASOGEZWA MBELE

 Katibu Mkuu  wa  Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na washtakiwa wenzake 49, hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa kutokana na mashahidi upande wa mashtaka kutofika mahakamani hapo
Katibu Mkuu  wa  Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa na mshtakiwa mwenzake,  Mukadam Abdal Swalehe (kushoto)
 Baadhi ya wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa katika viunga vya mahakama ya Kisutu
Katibu Mkuu  wa  Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda na mshtakiwa mwenzake Mukadam Abdal Swalehe wakitoka mahakamani chini ya ulinzi wa askari magereza.
 Ulinzi uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Kisutu leo.
 Katibu Mkuu  wa  Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (kulia) akiwa na washtakiwa wenzake.Picha Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment