TAASISI YA MBUNGE CATHERINE MAGIGE YATOA MSAADA KWA WALEMAVU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 30 November 2012

demo-image

TAASISI YA MBUNGE CATHERINE MAGIGE YATOA MSAADA KWA WALEMAVU


DSC09669 
Mbunge wa viti maalum Bi. Catherine Magige akisoma taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi, mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.
DSC09656
 Mbunge wa viti maalum, Catherine Magige (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini John Mongela na wageni wengine.
DSC09688
 Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiwa na mbunge wa viti maalum bi Catherine Magige wakiwa wanawakabidhi zawadi ya baiskeli walemavu watatu kwa niaaba ya walemavu 20 walipewa zawadi hizo
DSC09695
 Mbunge wa viti maalum, Catherine Magige wakiwa wanawakabidhi zawadi ya baiskeli walemavu watatu kwa niaaba ya walemavu 20
DSC09715
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akifanya mahojiano na vyombo vya habari mara baada ya kukamilika zoezi hilo. Picha na Mahmoud Ahma. 

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *