WAZIRI WA ELIMU DR. SHUKURU KAWAMBWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA SHULE YA MSINGI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Oct 2012

WAZIRI WA ELIMU DR. SHUKURU KAWAMBWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA SHULE YA MSINGI ARUSHA

Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru Kawambwa akila chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya Arusha. alipofanya ziara ya kushtukiza ,kujionea huduma za chakula inayotolewa kwa wanafunzi shuleni hapo.
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru Kawambwa akifurahia chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya Arusha.
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru Kawambwa akijilamba chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya msingi ya Arusha.Huku waandishi wa habari wakipata matukio.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad