SURPRISE DINNER KWA MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 25 October 2012

demo-image

SURPRISE DINNER KWA MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA


3
                                            
5

fla

7
8+%25282%2529
asha
                      Hebu simama watu tupuge picha...alah!!
10
hata wewe Da Khadija?!! kha we Gaga na Michael Jackson live 

8
  akiwa anahamu yakutaka jua tulijipangaje....ndo anaambiwa lilianzishwa hadi group kwenye BBM
11  
DSC_1279
Mwenyekiti wa kamati Jen akimzomea, yaani alikuwa haamini na hataki jua kama tumeweza msuprize , mwenyewe anakwambia sio birthday yangu wala hana mchumba wakumuengage anawaza ni juu ya nini?!!

12
Anko Denis tulikuwa nae pia
15
Mama JJ akampa heshima ya kufanya mtoko rasmi akiwa malezini,
                                         Chief kunanini yaani  hadi umemuacha Baby Jahsh
sup1
                                                         hata wewee Boc....sawaaa
sup2
Suprize zilizidi tiririka , nduguze walimkimbia home akahoji mbona familia inanitenga leo
17
         Kitu cha Rolex....kuwa mwanamitindo raha, ungekuwa fundi umeme ungeipatia wapi?!!
18
Akapokea Cake tukamwambia tukatie Desert sie tujisevie JIUGONJWA, kalivyo kabishi kakagoma, 
19
siwezi kata cake hadi nijue mnanihongeresha kwa kitu gani.....vimaneno vya kurushwa toka pande hz nazile mara Engagement akanuna mara geuka nyuma ako mtu kapiga goti nk ;)
       
fl
 Basi tukampa rukhsa mmoja wa Marafiki wa  Flavy kumwambia nia na madhumuni ya ile suprize dinner....NI KUMPA HONGERA FLAVIANA MATATA KWA JUHUDI ZAKE KAZINI KAMA MNAVYOONA JUZI ALIKUWA KATIKA LONDON FASHION WEEK KATIKA SHOW KUBWA ILIYOFUNGULIWA NA  LADY GAGA HUKU AKIWA MMOJA KATI YA WAONESHA MAVAZI YA DESIGNER WA  MICHAEL J  NA JENGINE  KUBWA ZAIDI NI LILE KUPATA MKATABA WA MIAKA MINNE NA AGENCY MPYA IITWAYO
WILHELMINA MODELLING AGENCY ....AMBAYO NI KUBWA NA MAARUFU NEW YORK NA LONDON ...na pia Kaflavy kamekuwa kanasupport kila aliye rafiki yake na hujitoa kwenye mengi tukaona ni muda nae wakurejeshewa hili na kuomwambia hongera na azidishe juhudi

sup
fl1
 Asianze kutulilia.......maskini Flavy...tena wakati twapanga tulisema tumbebe kataulo tulitegemea kilio hiki
flv
13 

20
                                             

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *