DADA AMINA MOLLEL WA TBC AOLEWA LEO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Oct 2012

DADA AMINA MOLLEL WA TBC AOLEWA LEO

Wasanii wa Bongo Movies wakiwa jijini Moshi kusaka vipaji vipya vya tasnia hiyo,ndani ya Serengeti Fiesta 2012
Mtangazaji wa TBC 1 Bi. Amina Mollel akiwa na mume wake mpenzi mara baada ya kufunga pingu za maisha,maeneo ya Tabata.
Amina Mollel huyo,mdau wa TBC akiwa katika pozi baada ya kula kiapo cha ndo LEO mida ya mchana pande za Tabata,hongera mama na Mungu akaitunze ndoa yako. Picha kwa hisani ya mdau wa blogu yangu, Bi Grace Kingalame

1 comment:

  1. Mungu awape maisha mema na yenye furaha katika ndoa yenu

    ReplyDelete

Post Top Ad