Wana-Boda Boda wa Jiji la Arusha,wakiwa
wameziba barabara kuu ya moshi Arusha katika eneo la Ngulelo,wakilituhumu jeshi la polisi kumwachia
mtuhumiwa wa mauaji anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mwenzao bila hatia.
Madereva wa bodaboda wakiziba barabara kuu na kufanya magari kushindwa kupita kwa muda.
Dereva wa Boda Boda akitaka kupasua
kioo cha gari dogo kwa Hasira baada ya dereva wa gari hilo kutaka kupita kwa nguvu katika eneo lililozibwa.
No comments:
Post a Comment