Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimfariji Mbunge wa Singida
Mashariki Mhe. Tundu Lissu alipofika kuhani msiba wa Marehemu baba yake
Mhe. Tundu Lissu mzee Agustinio Lissu Mughwai Nyumbani kwake tegeta,
Dar es Salaam. Mzee Lissu alifariki Jumapili tarehe 16 Septemba, 2012,
katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa
jumamosi Singida
Spika
wa Bunge Anne Makinda akisaini kitabu cha maombolezo alipofika kuhani
msiba wa Marehemu baba yake Mhe. Tundu Lissu mzee Agustinio Lissu
Mughwai Nyumbani kwake tegeta, Dar es Salaam.
Mbunge
wa Singida Mjini Mhe. Tundu Lissu akiteta jambo na Spika wa Bunge Mhe.
Anne Makinda alipofika kuhani msiba wa baba yake Mhe. Lissu
Mzee Agustinio Lissu Mughwai Tegeta Dar es Salaam
Spika Anne Makinda akimfariji mbunge wa Viti maalum ChademaMhe. Christina Lissu ambaye pia ni dada yake na Mhe. Tundu Lissu alipowatembelea kuhani msiba wa baba yao Tegeta.
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
No comments:
Post a Comment