Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA) Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II(wa pili Kushoto)akiwa na Uongozi Mzima wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema DMV kwaajili ya mapokezi.
Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(kushoto)akiwa na Mwenyekiti
wa Wanawake CHADEMA Maryam Khamis wapili kulia na Katibu wa wanawake Baybe
Leila, wa kwanza kushoto wakiwa katika mapokezi ya kumpokea mgeni rasm
wa mkutano wa Jumamosi Mh. Freeman Mbowe.
Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(Wa nne Kulia) pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA)Mhe. Joseph Mbilinyi(wa tatu kushoto) wakiwa na wa Chadema DMV
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman
Mbowe akiwa na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV aliopowasili
siku ya Ijumaa Aug 31, 2012, kwenye uwanja wa kimataifa Dulles
Airport, kwaajili ya mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Sept
1,2012.
Mkutana huo utaaza rasmi mida ya saa 4:PM (Kumi za Jioni) Wageni rasmi
wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi ADDR. Addr:
9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740
Katibu wa Tawi la Chadema DMV akiwa na Mwenyekiti wake Cosmas Wambura, katika mpango mzima wa M4C.
Baada ya mapokezi Katibu wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Isdori Lyamuya
akiongea mpango mzima wa mkutano utakaofanyika Jumamosi Sept 1, 2012
kwenye ukumbi wa Marriott Hotel Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park.
MD 20740.Picha Zote na CHADEMA
No comments:
Post a Comment