Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunga mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Afrika
kuhusu Mazingira uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
AICC mjini Arusha.
Dr.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji na
mwenyekiti wa Taasisi ya Global Environment Facility Dr. Naoko Ishii
mjini Arusha.
Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment