Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Multchoice Barbara Kambogi akizungumza na
waandishi wa habari kwenye hafla ya mabadiliko ya Chanel za DStv
yatakayoanza tarehe 1 Oktoba mwaka huu, hafla hiyo imefanyika kwenye
hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.
Mhasibu
Mkuu wa Kampuni ya Ving’amuzi ya DStv Francis Senguji akizungumza
katika hafla hiyo na kuelezea mambo mbalimbali yanayohusi mabadiliko
hayo.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Kutoka kulia ni Benny Kisaka kutoka Jambo Leo, Gerald Hando kutoka Clouds na Sebbo wakiwa katika hafla hiyo
Kutoka kulia ni Mamaa Shamim wa Zeze kutoka 8020fashion blog akiwa na mzee wa Mtaa kwa Mtaa na Kushoto Full shangwe blog CEO
WANASEMA
WAMEONGEZA WIGO WA WEWE KUJIACHIA KATIKA ILE SEKTA UIPENDAYO YA MOVIES
AKA FILAMU NDANI YA CHANNEL 8 NA KILA CHANNEL IKIWA INA AINA YA MOVIE
ZENYE THEME TOFAUTI KAMA MPENZI WAMOVIE UTAWEZA PATA MOVIE MPYA
ZILIZOTOKA ONESHWA SINEMANI (NDANI YA CHANNEL 103),MOVIE ZAKIFAMILIA
(CHANNEL 104) ,WALE WACOMEDI NA WALE WA ACTION NA WALE WATAMTHILIA
TUTAKUWA NA CHANNEL YETU MAALUM YAKUJIACHIA
WIGO HUU WA MOVIES UTAKUWA UNACHEZEA KUANZI CHANNEL 103-111
KWA BEI ILEILEEE UNAYOLIPIA KILASIKU
No comments:
Post a Comment