VUA GAMBA....VAA GWANDA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 24 August 2012

VUA GAMBA....VAA GWANDA

Kundi maarufu la sanaa Arusha la Serengeti art group,lililokuwa chini ya ccm,limehamia CHADEMA.Wamekabidhiwa kadi na viongozi wa chama mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mwenyekiti Mwigamba,Katibu Amani Golugwa,Mwenyekiti BAVICHA mkoa Nanyaro,na Mwenyekiti BAWACHA mkoa Cecy Ndossi.Tukioa hilo limefanyika leo katika ofisi za Chama Ngarenaro

No comments:

Post a Comment