TTB YATOA VYETI KWA WALIOHIMIZA UTALII WA NDANI NA NJE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 22 August 2012

TTB YATOA VYETI KWA WALIOHIMIZA UTALII WA NDANI NA NJE


Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania TTB, Dk Aloyce Nzuki (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watanzania hao wakiwa wameshika vyeti vyao  kushoto ni Wilfred Moshi, Respicius Baitwa wa pili kutoka kulia na Juma K. Nugaz a.k.a Antonio Nugaz(wa Clouds Tv-Kambi popote) wa tatu kutoka kushoto na wengine ni Geofrey Meena Meneja Masoko wa TTB na Devotha Mdachi Mkurugenzi wa Masoko wa pili kutoka kushoto.

No comments:

Post a Comment