Mwanadada Diva Loveness Love (daah) akisababisha ndani ya amsha amsha ya tamasha la Fiesta linalofanyika wikend hii ndani ya Tanga.
Baba Jonii'happen there' akisikiliza kwa Makini maelekezo toka kwa msimamizi wa vipindi Clouds Fm ,Bw. Sebastian Maganga |
Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea.
Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii akionesha t-shirt ambazo zimetoka kwa ajili ya kusherekea tamasha hilo la Fiesta 2012.
No comments:
Post a Comment