Mrembo Lisa Jensen ambaye ni Miss World Tanzania 2012 amerejea jijini Dar akitokea nchini China alipokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano
ya Dunia mwaka huu na kupokelewa na viongozi kadhaa wa Kamati ya Miss
Tanzania akiwepo Mkurugenzi wa Kino International Agency waandaaji wa
Miss Tanzania Hashim Lundenga (kulia) aliyefika uwanja wa ndege wa JNIA
Dar es salaam kumpokea.
Lisa akizungumza na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, kutoka kushoto,
Katibu Mkuu, Bosco Majaliwa, Mrembo Amisa Hassan, Mkurugenzi Hashim
Lundenga na Ofisa Habari wa Kamati, Haidan Rico
No comments:
Post a Comment